RONALDINHO GAUCHO: BARCELONA IMETUMA WAWAKILISHI LIVERPOOL KUZUNGUMZA NA PHILIPPE COUTINHO

KOCHA wa zamani wa klabu ya Barcelona, Ronaldinho Gaucho ambaye ni balozi wa klabu hiyo, ameweka wazi kuwa uongozi wa klabu hiyo umetuma wawakilishi kwenda Liverpool kwenda kufanya mazungumzo na kiungo wa klabu hiyo, Philippe Coutinho ili kumsajili Januari.


No comments