RONALDO ALIFANANISHA SAKATA LAKE LA KUKWEPA KODI NA MFUNGWA ALIYEHUKUMIWA GEREZANI BILA KOSA


CRISTIANO Ronaldo amezungumzia suala linalomkabili la kukwepa kulipa kodi na kusema ni sawa na mfungwa aliyehukumiwa gerezani bila kufanya kosa.

No comments