RONALDO AJIFUA NA WENZAKE REAL MADRID KUJIWEKA SAWA NA MECHI YA EL CLASICO JUMAMOSI

KUFUATIA hofu kwamba ameumia misuli, Cristiano Ronaldo amefanya mazoezi vyema na wachezaji wenzake wa Real Madrid juzi kuelekea mechi yao ya Clasico Jumamosi dhidi ya Barcelona kwenye uwanja wa Nou Camp.

No comments