SADIO MANE AIPAISHA LIVERPOOL KWA BAO LA DAKIKA ZA MAJERUHI ...Everton yasalimu amri nyumbani


BAO lililofungwa na Sadio Mane dakika ya 2 kati ya 8 zilizoongezwa kufidia muda uliopotea, limetosha kuipaisha Liverpool hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England.

Katika mchezo huo dhidi ya Everton uliochezwa kwenye dimba la Goodison Park, ilionekana kama vile timu hizo pinzani zingetoka sare lakini Mane akabadilisha sura ya mchezo katika dakika za lala salama.

No comments