Habari

SAIDA KAROLI AKUMBUKA KUZIFANYIA VIDEO NYIMBO ZAKE ZA ZAMANI

on

MSANII wa nyimbo za asili ya Kihaya,
Saida Karoli amesema kuwa yuko mbioni kushuti video za nyimbo zake za zamani
ambazo aliziacha katika audio tu wakati huo alipokuwa akitamba.
“Muziki umenipa mafanikio mengi
ikiwmo elimu ya muziki pamoja na darasa ambayo awali sikuwa nay a kutosha na
sasa ninajiandaa kutoa kazi nyingi zaidi ikiwa ni pamoja kushuyti video za
nyimbo zangu za zamani,” alisema Saida.
Alisema amekuwa kimya kwa muda
mrefu kwa vile hakuwa na meneja na kusababisha nyimbo zake kiuytofikia mbali
lakini sasa anajipanga vizuri ili kuweka kila kitu sawa.
“Tangu mwaka 2007 sikuwa na
meneja ndiyo maana kazi ninazo fanya haziwa fikii walengwa inavyo trakiwa kwa
sababu nina jisimamia mwenyewe lakini sasa nina uhakika kila kitu kitakwenda
sawa,” alisema.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *