SAM ALLARDYCE KOCHA MPYA CRYSTAL PALACE


Sam Allardyce ametajwa kuwa kocha mpya Crystal Palace na jukumu lake la kwanza litawadia Jumatatu ya Boxing Day kwenye mchezo wa Premier League dhidi ya Watford.
Kocha huyo wa zamani wa England amechukua nafasi ya Alan Pardew aliyetimuliwa Alhamisi mchana.


No comments