KLABU ya Manchester City huenda ingemsajili Alexis Sanches kama kusingekuwa na sheria ya usawa wa matumizi ya fedha katika usajili barani Ulaya.


Hayo yalisemwa hivi karibuni na kocha wa zamani wa timu hiyo, Manuel Pellegrini akilieleza  jarida la Daily Mail kwamba timu hiyo ilikaribia kutoa kitita cha pauni mil 31 mwaka 2014 ili kuinasa saini ya winga huyo.
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac