SIKILIZA NA UPAKUE WIMBO MPYA KABISA WA MASHUJAA BAND "THAMANI YA MAPENZI"BAADA ya kambi ya muda mrefu, Mashujaa Band inaachia kete yake ya kwanza kupitia wimbo “Thamani ya Mapenzi”.

Huu ni wimbo mpya kabisa ulioachiwa leo, kazi ikiwa imepakuliwa kutoka studio za Soft Records.

No comments