SOUTHAMPTON YAISAKA SAINI YA KIUNGO DANIEL PAREJO WA VALENCIA KWA PAUNI MIL 16

SOUTHAMPTON imepanga kutumia pauni mil 16 katika usajili wa Januari mwakani ili kuinasa saini ya kiungo wa Valencia, Daniel Parejo.


Hata hivyo, Southampton watakutana na upinzani mkubwa kutoka Inter Milan, Sevilla na Monaco.

No comments