TEVEZ ADAIWA KUFANYA MAZUNGUMZO NA SHANGHAI SHENHUA


NYOTA wa zamani wa klabu ya Juventus ambaye kwa sasa anakipiga kwenye klabu ya Boca Juniors, Carlos Tevez anadaiwa kufanya mazungumzo na matajiri wa nchini China, Shanghai Shenhua ambao wameweka euro mil 40 kwa ajili ya mchezaji huyo.

No comments