TEVEZ ASEMA WANAOTOA TAARIFA KUHUSU YEYE KUSTAAFU SOKA NI WAZUSHI TU

STRAIKA wa zamani wa Manchester City na Manchester United, Carlos Tevez, 32, amesema hana mpango wa kwenda kumaliza soka lake nchini China na wanaotoa taarifa kwamba anataka kustaafu soka ni wazushi.

No comments