THIERRY HENRY ASEMA OZIL, SANCHEZ WATABAKI ARSENAL MISIMU IJAYO

NYOTA wa zamani wa Arsenal, Thierry Henry ameweka wazi kuwa nyota wa klabu hiyo, Mesut Ozil na Alexis Sanchez wataendelea kuwa wachezaji wa klabu hiyo misimu ijayo bila kujali mvutano uliopo kati yao na uongozi wa klabu hiyo kwa ajili ya kuongezewa mkataba.

No comments