TOBY ALDERWEIRELD KUONDOKA TOTTENHAM DIRISHA LA JANUARI


MCHEZAJI wa klabu ya Tottenham, Toby Alderweireld, ameweka wazi kuwa anataka kuondoka ndani ya klabu hiyo wakati wa uhamisho wa Januari, hata hivyo klabu hiyo imetaja dau la kumuuza mchezaji uyo kuwa ni pauni mil 25.4.

No comments