TONI KROOS "KAPONA"... ashiriki mazoezi ya “chengesha bwege” na wenzake Real Madrid

LICHA ya kwamba awali alionekana kama angekuwa nje ya uwanja hadi mwaka mpya, Toni Kroos anaonekana kupona haraka zaidi na juzi Ijumaa alishiriki mazoezi ya “chengesha bwege” na wenzake wa Real Madrid.

No comments