TOT Band imekubali kwa masharti rapa wake Kabatano kushiriki tamasha la marapa wa bendi litakalofanyika Dar Live, Mbagala siku ya X-Mas.

Mmoja wa viongozi wa TOT Juma Jerry "JJ Mzee wa Mbezi" amesema wamemruhusu Kabatano lakini kwa masharti kuwa saa 6.30 usiku awe ameripoti onyesho la TOT.

Kwa maana hiyo Kabatano (pichani) anapaswa kuahakikisha program yake kwenye tamasha la marapa inamalizika mapema ili aondoke na kwenda kumtumikia mwajiri wake. 
USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac