VALENCIA KUMNG'OA MARCOS ROJO MANCHESTER UNITED

KLABU ya Valencia ya nchini Hispania imepanga kumchukua beki wa Man United, Marcos Rojo wakati wa usajili wa Januari mwakani.


Mchezaji huyo amekuwa akikosa namba ya kudumu chini ya Jose Mourinho lakini kocha huyo amepanga kuendelea kukaa na mchezaji huyo.

No comments