VAN PERSIE AFIKIRIA KUSEPA FENERDAHCE NA KUREJEA FEYENOORD

STRAIKA wa zamani wa Manchester United, Robin Van Persie, 33, amesema anafikiria kuondoka klabu ya Fenerdahce n kurudi klabu yake ya zamani ya Feyenoord.

No comments