VICTOR LINDELOF AITAKA KLABU YAKE YA BENFICA IMBARIKI KUTUA MANCHESTER UNITED

NYOTA wa klabu ya Benfica, Victor Lindelof ameitaka klabu yake imuache aondoke wakati wa uhamisho wa Januari kwa ajili ya kujiunga na klabu ya Manchester United.


Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho amedai kwamba yupo tayari kumsajili mchezaji huyo kwa mil 30. 

No comments