VICTOR LINDELOF AIVUTIA MANCHESTER UNITED

UONGOZI wa klabu ya Manchester United umedai kuvutiwa na nyota wa klabu ya Benfica, Victor Lindelof kwa ajili ya kumsajili wakati wa Januari.


Hata hivyo mchezaji huyo amedai kuwa anafurahia maisha ndani ya klabu hiyo ya Benfica na hana mpango wa kuondoka.

No comments