VITA YA MANCHESTER CITY, ARSENAL NA MAN UNITED KUMWANIA YACINE BRAHIMI YAENDELEA

VITA inaendelea kati ya klabu ya Manchester United, Arsenal na Man City kwa ajili ya kuwania saini ya nyota wa klabu ya Porto ambaye anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji, Yacine Brahimi.


Hata hivyo, mchezaji huyo anawindwa na Juventus, Napoli, AC Milan, Monaco, Marseille, Atletico Madrid, Sevilla na Westham.

No comments