WAYNE ROONEY AITWA KWENDA KUKIPIGA CHINA KWA MSHAHARA WA PAUNI 700,000 KWA WIKI

STRAIKA wa Manchester United, Wayne Rooney ameitwa kwenda kucheza soka la kulipwa Ligi Kuu China kwa mshahara monono wa pauni 700,000 kwa wiki.


Klabu za Guangzhou Evergrande Taobao na Beijing Guoan ndizo zinazomsaka nahodha huyo wa United na England.

No comments