WENGER KUMREJESHA WILSHERE EMIRATES MAJIRA YA JOTO

KOCHA wa klabu ya Arsenal, Arsene Wenger ameweka wazi kuwa anataka kumrudisha nyota wake, Jack Wilshere

wakati wa uhamisho wa majira ya joto.

Mchezaji huyo wa Arsenal kwa sasa anakipiga katika klabu ya Bournemouth kwa mkopo tangu Agosti mwaka huu.

No comments