WEST HAM KUFANYA MAZUNGUMZO NA CHELSEA KWA AJILI YA KIPA ASMIR BEGOVIC

UONGOZI wa klabu ya Westham umepanga kutaka kufanya mazungumzo na klabu ya Chelsea kwa ajili ya kutaka kumsajili mlinda mlango wa timu hiyo, Asmir Begovic kwa mkopo wakati wa Januari mwakani.


Mchezaji huyo ni kipa namba mbili ndani ya kikosi cha Chelsea.

No comments