WEST HAM inamtaka kwa mkopo kiungo wa Manchester United Marouane Fellaini kupitia dirisha la usajili la mwezi Januari.

Nyota huyo wa kimataifa wa Ubelgiji yupo kwenye mipango ya kocha Jose Mourinho lakini amekuwa akikosekana kwenye kikosi cha kwanza katika wiki za hivi karibuni.

Fellaini mwenye umri wa miaka 29, alivurunda Jumapili iliyopita katika mchezo dhidi ya Everton ulioisha kwa sare ya 1-1 ambapo alisababisha penalti iliyozaa bao la kusawazisha.USISAHAU KUBONYEZA SUBSCRIBE HAPO
LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK Saluti5

Post a Comment

 
Top
Nicolaus Trac