XAVI ASHANGAZWA NA MADAI YA KODI YANAYOMKABILI RONALDO


KIUNGO fundi wa zamani nahodh wa Barcelona Xavi ameshangazwa na madai ya kukwepa kodi yanayo mkabili winga wa Real Madrid Cristiano Ronaldo nyota huyo wa Madrid alijikuta kwenye tuhuma nzito na kukwepa kodi kwa mujibu wa taarifa mbalimmbali za vyombo vya habari hivi karibuni.

No comments