YAYA TOURE AKAMATWA AKIENDESHA GARI AKIWA KALEWA WAKATI ALIDAI HATUMII POMBE

KIUNGO wa Manchester City, Yaya Toure amejichanganya akidai kuwa hatumii pombe lakini hivi karibuni alikamatwa akiendesha gari huku akiwa amekunywa pombe na anatarajia kufunguliwa mashitaka.

No comments