YOUNG DEE ATAWALA WIKI MOJA MITANDAONI KWA MABAYA NA MAZURI

RAPA David Genzi a.k.a "Young Dee" amejikuta akitawala mitandao ya kijamii kwa mabaya na mazuri ndani ya wiki moja.

Mwishoni mwa wiki alijikuta akishambuliwa na mitandao ya kijamii kufuatia taarifa kwamba amemtelekeza mwanamke aliyezaa naye pamoja kichanga chao.


Mbali na kusambaza na picha ikimuonyesha Young D akiwa amemkumbatia mama wa mtoto wake huku akiwa wamemshika pamoja kichanga wao, rapa huyo aliposti picha akiwa amembeba mwanaye katika ukurasa wake wa instargramu na kuweka ujumbe “Young Daddy” huku pia akiomba radhi kwa yaliyotokea.

No comments