ZIDANE AMZUIA JAMES RODRIGUEZ KUONDOKA REAL MADRID

KOCHA Zinedine Zidane amesema hataki James Rodriguez aondoke Real Madrid na anaamini hana mpango wa kuondoka licha ya kiungo huyo “fundi” kuozea benchi Santiago Bennabeu.

No comments