ZLATAN AFUNGUKA “NI MWUJIZA KWA MANCHESTER UNITED KUTWAA TAJI LA LIGI MSIMU HUU”


ZLATAN Ibrahimovic amesema hakuna miujiza kwa Manchester United kutwaa taji msimu huu zaidi ya kuwataka wachezaji wenzake kujituma ili kuiondolea aibu timu inayoendelea kusota kwenye michuano ya Ligi Kuu England.

No comments