ZLATAN IBRAHIMOVIC ATAKA MSIMU MMOJA ZAIDI OLD TRAFFORD

STRAIKA wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic, 35, amenogewa kuendelea kuvaa jezi za Old Trafford na sasa anataka apewe nafasi ya kucheza msimu mmoja zaidi, kwa mujibu wa Jose Mourinho.

No comments