ZLATAN IBRAHIMOVIC AZITOLEA NJE KLABU ZA CHINA

NYOTA wa klabu ya Manchester United, Zlatan Ibrahimovic amezitolea nje klabu za nchini China ambazo zimeonyesha nia ya kutaka kumsajili.


Uongozi wa man United umepanga kufanya mazungumzo na mchezaji huyo kwa ajili ya kumwongezea mkataba mpya.

No comments