ALVARO MOLATA ASEMA HANA MPANGO WA KUONDOKA REAL MADRID

PAMOJA na wakati mgumu alionao ndani ya klabu ya Real Madrid ya Hispania, mshambuliaji Alvaro Molata amedai kuwa hana mpango wa kuachana na mabingwa hao wa Ulaya.

No comments