ANDREA BELOTTI ASEMA HATAIPITIA MBALI OFA YA KUJIUNGA NA ARSENAL

STRAIKA wa Torino, Andrea Belotti amesema hataikacha ofa ya Arsenal. Gunners wanadai kutenga pauni mil 56 kwa ajili ya mchezaji huyo mwenye miaka 23.

No comments