ANTONIO CONTE AMNG’ANG’ANIA JOHN TERRY… asema hataondoka kwenye dirisha dogo Januari hii


KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte amesema nahodha wake, John Terry, 36, hataondoka kwenye klabu hiyo wakati wa usajili wa dirisha dogo Januari hii.

No comments