ANTONIO CONTE AWAOMBA MASHABIKI WA CHELSEA KUTOMZOMEA DIEGO COSTA LEO

KOCHA wa Chelsea, Antonio Conte amesema hakuna sababu kwa mashabiki wa klabu hiyo kumzomea mshambuliaji wao, Diego Costa katika mechi ya Ligi Kuu England leo.

No comments