Habari

ARSENAL YAKAMILISHA USAJILI WAKE WA KWANZA WA DIRISHA DOGO

on

ARSENAL imekamilisha usajili wake wa kwanza wa mwezi Januari ambaye ni beki wa kushoto Cohen Bramall mwenye umri wa miaka 20.
Beki huyo ambaye anatoka kwenye klabu ya Hednesford Town isiyoshiriki ligi yoyote, amesajiliwa kwa pauni 40,000 na atalipwa pauni 3,000 kwa wiki.
Arsenal imetangaza kupitia ‘website’ yao kuwa kinda huyo ataingia kwenye kikosi cha timu hiyo cha chini ya miaka 23 ingawa pia anaweza kuonekana kwenye baadhi ya mechi za kikosi cha kwanza.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *