ARSENE WENGER HAJAJUA WA KUSAMJILI DIRISHA DOGO LA JANUARI

INGAWA dirisha dogo la usajili wa Januari limefunguliwa, lakini hadi sasa kocha wa Arsenal, Arsene Wenger bado hajajua hasa ni nafasi gani muhimu kwake kuifanyia maboresho.

No comments