ARSENE WENGER KUTOFANYA USAJILI KIPINDI HIKI... apanga kumalizana na mastaa wake

KOCHA wa Arsenal, Arsene Wenger hatafanya usajili mpya baadae mwezi huu, badala yake atatumia kipindi hicho kumalizana na Alexis Sanches, 28, Mesut Ozil, 28, Olivier Giroud, 30, Francis Coquelin, 25 na Santi Cazorla, 32. 

No comments