ARTURO VIDAL WA BAYERN MUNICH ASUBIRI KUWAVAA ARSENAL 16 BORA LIGI YA MABINGWA

BAYERN Munich wamesema wanaamini kiungo wao jembe, Arturo Vidal, 29, ambaye anauguza majeraha ya mbavu atarejea kuwavaa Arsenal katika mechi yao ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye uwanja wa Allianz Arena mwezi ujao.

No comments