Habari

BAADA YA KUTUA LYON, DEPAY ATOA LA MOYONI KUHUSU MANCHESTER UNITED

on

Aliyekuwa winga wa Manchester United Memphis Depay ambaye ametua Lyon ya Ufaransa kwa ada itakayofikia pauni milioni 21, ametoa la moyoni kuhusu klabu yake ya zamani.
Depay mwenye umri wa miaka 22 atakayevaa jezi namba 9 Lyon, amesema licha ya kuwa na maisha magumu kisoka Old Trafford, lakini anawashukuru mashabiki wa Manchester United kwa kumuunga kwake mkono tangu siku ya kwanza hadi ya mwisho.
Winga huyo wa Kiholanzi, amesema kamwe hatasahau ‘sapoti’ ya mashabiki wa Manchester United.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *