BEKI NELSON SEMEDO WA BENFICA "AIPOTEZEA" MANCHESTER UNITED

BEKI wa kulia wa Benfica, Nelson Semedo ameipotezea kiaina Manchester akidai kuwa hana mpango wa kujiunga nayo wakati wa dirisha dogo mwezi huu.

No comments