BENTEKE AJIANDAA KUSEPA CRYSTAL PALACE NA KUTUA PSG


STRAIKA Christian Benteke ana mpango wa kuondoka katika klabu yake ya sasa, Crystal Palace na kwenda kujiunga Paris Saint-Germain kwa mujibu wa wakala wa mchezaji huyo.

No comments