BOSI WA ATLETICO MADRID AGOMA GRIEZMANN KUSEPA MANCHESTER UNITED

RAIS wa Atletico Madrid, Enrique Cerezo ameapa kuwa mshambuliaji wake, Antoine Griezmann haondoki, baada ya kuwepo taarifa kuwa Manchester United iko tayari kutoa fedha nene ili kumsajili.

No comments