BOURNEMOUTH YATUMA OFA YA KUTAKA KUMNG'OA JOHN TERRY CHELSEA

PAMOJA na kocha wa Chelsea, Antonio Conte kukataa kumweka sokoni nahodha wake, John Terry, Bournemouth wamewasilisha ofa ya kumtaka nahodha huyo wa zamani wa England.

No comments