CHAMA CHA SOKA ENGLAND CHAMTIA HATIANI ARSENE WENGER


CHAMA cha soka England kimemtia hatiani kocha wa Arsenal, Arsene Wenger kwa utovu wa nidhamu wakati wa mechi ya Ligi Kuu Engand dhidi ya Burnley Jumapili iliyopita.

No comments