CHELSEA KUSHINDA MBIO ZA KUMNYAKUA RICARDO RODRIGUEZ


CHELSEA huenda ikashinda vita yake dhidi ya Arsenal kuwania kumsajili beki wa kimataifa wa Uswisi, Ricardo Rodriguez anayecheza klabu ya Wolfsburg.

No comments