CHELSEA, MANCHESTER UNITED ZAINGIA VITANI KUMWANIA GARETH BALE

KLABU za Manchester United na Chelsea za England zinakabana koo kila moja ikitaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid, Gareth Bale mwishoni mwa msimu.

No comments