CHICHARITO MBIONI KUMWAGWA BAYER LEVERKUSEN

MIAMBA wa soka katika Ligi Kuu ya Ujerumani, Bundesliga, Bayer Leverkusen inataka kuachana na nyota wake, Javier Hernandez ambaye aling’ara sana katika klabu ya Manchester United.


Nyota huyo mwenye umri wa miaka 28, msimu uliopita alifunga jumla ya mabao 26 katika klabu hiyo ya Leverkusen lakini msimu huu mambo yanaonekana kuwa magumu kwake.

No comments