CHRISTIAN BENTEKE AITOLEA NJE OFA YA BEIJING GUOAN


STRAIKA wa Crystal Palace, Christian Benteke amekataa ofa ya kwenda kucheza soka China anakotakiwa na klabu ya Beijing Guoan kwa pauni mil 40.

No comments