CONTE ASHAURIWA NA WACHEZAJI WAKE KUMSAJILI KIPA JOE HART


WACHEZAJI wa Chelsea wamependekeza kuwa kocha Antonio Conte amsajili kipa wa Manchester City, Joe Hart, 29, iwapo kipa wao wa sasa, Thibaut Courtois ataondoka mwishoni mwa msimu. Hart anacheza kwa mkopo Torino ya Italia.

No comments